27th August, 2018
Wakazi wa Kaunti ya Tana river waliolazimika kuhama nyumba zao miezi tano iliopita kutokana na kufurika kwa mto tana msimu wa mvua, wanaitaka serikali kuwajengea nyumba katika sehemu mbadala. Wakaazi hao wamedai kuteseka baada ya kuishi kambini.