.
27th August, 2018
Bodi ya dawa na sumu ikishirikiana na wizara ya afya na mashirika mengine imezindua kampeni ya kuchunguza dawa bandia kote nchini. Bodi hiyo inalenga kuwakamata na kuwashtaki watakao patikana na dawa zisizo halali na zenye hatari kwa matumizi ya binadamu.