×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magavana wamekongamana katika Kaunti ya Makueni kuangazia maendeleo

27th August, 2018

Magavana hii leo wamekongamana katika Kaunti ya Makueni kuangazia mfumo wa kuwahusisha wakaazi kwenye miradi yote ya maendeleo ili kuimarisha ugatuzi. Magavana 8 kati ya 47 walihudhuria mkutano huo unaotoa fursa kwa magavana kujifunza kwa kuangazia ufanisi na changamoto katika kila kaunti. Waziri wa ugatuzi eugene wamalwa wakati huo amesema changamoto kuu inayokumba ugatuzi ni jinamizi la ufisadi.

.
RELATED VIDEOS