.
25th August, 2018
Gavana wa Mombasa Hassan Joho na rais mustAafa Daniel Arap Moi hii leo wamefanya kikao cha saa kadhaa huko Kabarak , kikao ambacho madhumuni yake hayajawekwa wazi.
Vile vile kwenye mkutano huo alikuwa senata wa Baringo Gideon Moi na baadhi ya wabunge wafuasi sugu wa gavana na seneta huyo. Je, ni kipi kinachotoka baina ya Gideon Moi na Hassan Joho? Duncan khaemba anajaribu kuchambua kikao hicho.