×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sakata Ya Sukari ingali yatokota

20th August, 2018

 
Mvutano unatokota katika bunge la taifa kufuatia 
kuwasilishwa kwa hoja kwa Spika Justin Muturi kufufua 
mjadala wa sakata ya sukari baada ya ripoti hiyo kufutiliwa 
mbali kwenye kikao kilichoweka uadilifu wa bunge la taifa 
kwenye mizani. Anavyorifu mwanahabari Geff Kirui, baadhi ya 
wabunge wanapendekeza mswada huo urejeshwe bungeni
.
RELATED VIDEOS