Hali Tete Kampala: Jeshi limelazimika kuingilia kati kuwatuliza waandamanaji nchi Uganda
20th August, 2018
Tuvuke kwa majirani Uganda ambapo vurugu zimeripotiwa
katikamji mkuu wa Kampala hivi leo baada ya jeshi pamoja na
polisi kufyatua risasi za moto pamoja na mabomu ya kutoa
machozi kuwatawanya wafuasi wa mbunge wa upinzani
Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu Bobi Wine. Wafuasi
hao wamezua vurugu na kufunga baraba katika mji wa
kampala kulalamikia hatua ya serikali kuendelea kumzuilia
bobi wine ambaye amefunguliwa mashtaka ya uhaini