.
19th August, 2018
Kamati ya Seneti inayohusika na maswlaa ya uchukuzi, barabara na miundombinu mingine imeahidi kukwamua kitendawili cha vifo vya wanafunzi kumi kwenye ajali ya wiki mbili zilizopita barabara kuu ya mwingi unayoelekea nairobi.