×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Juhudi zaanzishwa kuwaondoa watoto mitaani

19th August, 2018

Kundi moja la vijana wanaoishi  mitaani  katika mtaa wa Kayole  limeanzisha mchakato wa kuyaaga maisha ya kuranda randa mitaani kwa kujihusisha na kilimo cha kupanda  mboga na biashara.

Kwingineko mwanamake mmoja anazuliwa na polisi baada ya zaidi ya watoto thelathini waliokuwa wakiishi katika kituo cha kuwalea watoto mtaani Kayole kutoweka

 

.
RELATED VIDEOS