.
18th August, 2018
Kulikua na sokomoko katika kijiji cha takaye kingstone mjini malindi polisi walipo wafyatulia wenyeji risasi.
Wenyeji hao walikua wakiandamana kupinga unyakuzi wa ardhi. Inadaiwa mwekezaji mmoja wa kibinafsi amenyakuwa zaidi ya ekari 30. Wakaazi hao waliojawa na ghadhabu waliwalaumu maafisa wa usalama kwa kuwalinda wafanyi kazi waliojenga ukuta.