×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kamuren anyakua kiti cha ubunge cha Baringo Kusini

18th August, 2018

Charles Kamuren wa chama cha Jubilee aliibuka mshindi katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika eneo bunge la Baringo kusini.

Msimamizi wa IEBC Paul Koness alitangaza mapema hii leo kwamba Kamuren ndiye mbunge mteule baada ya kujizolea kura  12,277. Mpinzani wake wa karibu Cynthia Kipchilat alipata kura 8,968.

.
RELATED VIDEOS