18th August, 2018
Waziri wa utalii Najib Balala amewaonya waekezaji dhidi ya kunyakua au kujenga kwenye ardi ya ufuoni.
Balala amesema kuwa majumba yaliomo ufuoni yatabomolewa kama inavyofanyika hapa jijini Nairobi.
Alisema haya wakati akizindua rasmi mradi wa kuulinda ufuo eneo la mto sabaki hadi mnara wa Vasco Da Gama.
Balala aliandamana na gavana wa Kilifi Amazon Kingi