18th August, 2018
Polisi walifanya oparesheni na kumkamata mshukiwa mmoja katika mtaa wa Syokimau.
Mshukiwa huyo aliyetajwa kuwa Elizabeth Akinyi alipatikana na dawa za kulevya na bidhaa nyingine ambazo polisi wanakisia kuwa humsaidia katika shughuli za ulanguzi wa dawa hizo.