.
18th August, 2018
Katibu mkuu wa zamani wa shirika la umoja wa mataifa Kofi Annan amefariki. Annan alifariki jumamosi asubuhi akiwa na umri wa miaka 80.
Annan anakumbukwa nchini Kenya kwa mikakati yake ya kuleta amani baada ya machafuko ya uchaguzi tata mwaka wa 2007/2008.