15th August, 2018
Mamlaka ya kitaifa ya usalama wa barabarani NTSA imekabidhi vifaa vya kutekeleza usalama kwa idara ya polisi. Hii ni kwa mujibu wa amri iliotolewa na rais Uhuru Kenyatta kwamba mamlaka hio iachie polisi shughuli ya usalama barabarani.