×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magavana Amason Kingi wa Kilifi na mwenzake Ali Hassan Joho wa Mombasa wamekutana

15th August, 2018

Magavana Amason Kingi wa Kilifi na mwenzake Ali Hassan Joho wa Mombasa wamekutana na wawakilishi wadi kutoka Pwani na kuamua kwa kauli moja kuzika tofauti zao ili kuhakikisha kuwa mpwani amenufaika na raslimali zilizoko. Je mikutano ya hivi karibuni huenda inalenga kubuniwa kwa chama cha wapwani Mombasa.

.
RELATED VIDEOS