×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Susan Wangari mkewe gavana Ferdinand Waititu ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu themanini

15th August, 2018

Susan Wangari ambaye ni mkewe gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu themanini pesa taslimu. Hii ni baada ya kutiwa mbaroni akiwa pamoja na washukiwa wengine kumi na watatu kwa madai ya kuendeleza ujenzi katikati ya jiji pasi na idhini kutoka kwa kaunti ya jiji la Nairobi. Sycilia wakesho na taarifa hiyo ambayo imeibua hisia baada ya gavana Mike Sonko kuweka wazi mawasiliano kati yake na gavana Waititu aliyekuwa akisihi kuachiliwa kwa mkewe.

.
RELATED VIDEOS