×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge kutoka eneo la Meru wamefanya kikao na kinara wa upinzani Raila Odinga

14th August, 2018

Zaidi ya wabunge wa zamani kumi na watano kutoka eneo la Meru, wamefanya kikao na kinara wa upinzani Raila Odinga, na kuapa kuunga mkono juhudi za kuliunganisha taifa pamoja na vita dhidi ya ufisadi vinavyoendeshwa na rais Uhuru Kenyatta. Kundi hilo linalojiita Meru handshake forum, aidha limeunga mkono uhusiano baina ya rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wakisema utachangia utangamano na uthabiti wa taifa. 

.
RELATED VIDEOS