Tutatumia mbinu za Kiluhyia kumshika muuaji, mbunge adai
13th August, 2018
Mbunge wa Likuyani Enock Kibunguchy anadai maisha yake yamo hatarini baada ya kunusirika kifo usiku wa kuamkia jana ambapo gari lake lilivamiwa na dereva wake kupigwa risasi na wahalifu waliotoweka na gari lenyewe.