.
13th August, 2018
Walimu wakuu wa shule za upili walizua vurugu katika kongamano lao wakimtaka mwenyekiti wao Shem Ndolo kung'atuka uongozini kwa sababu za ubadhirifu wa fedha. Hata hivyo ndolo amedai kuwa haendi kokote na kulilaumu vurugu hilo kusababishwa na naibu wake na chama cha knut.