.
11th August, 2018
Naibu rais William Ruto alikuwa katika eneo bunge la Kimilili katika kaunti ya Bungoma hii leo na kuwataka wenyeji kushirikiana na serikali ya jubilee katika baadhi ya miradi ya serikali. Ruto amesema ajenda muhimu nne za serikali ya Jubilee zitatimia tu endapo kutakuwa na ushirikiano miongoni mwa asasi zinazohusika