Jamaa mmoja ambaye imekuwa na tabia ya kula mayai na maganda yake

KTN News Aug 09,2018


View More on KTN Leo

Wataalamu wamegundua kuwa maganda ya mayai yana viwango vikubwa vya virutubisho na madini aina ya kalshiamu. Wataalamu hao wanapendekeza kuwa watu wakome kutupa maganda ya mayai na badala yake kuyala ili kuongeza nguvu mwili. Je unaweza kufanya hivyo? Jamaa mmoja ambaye imekuwa na tabia  ya kula mayai na maganda yake.