×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga ameitetea hatua ya ODM kumkabidhi Ochilo Ayacko tiketi ya kuwania usenta

8th August, 2018

Kinara wa ODM, Raila Odinga, ameitetea hatua ya chama hicho kumkabidhi  Ochilo Ayacko tiketi ya moja kwa moja ya kuwania  usenta kwenye uchaguzi mdogo unaotarajiwa hivi karibuni.

Akizungumza katika makao makuu ya chama hicho baada ya kukutana na waliokuwa wawaniaji wengine kwenye tiketi ya ODM, Raila alifafanua kwamba hatua ya kumteua Ochilo ayacko kuwa mgombeaji wa useneta ilitokana na matokeo ya utafiti wa kura za maoni

.
RELATED VIDEOS