×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bingwa wa dunia mbio za mita 400 kuruka viunzi Nicholas Bett amefariki dunia

8th August, 2018

Bingwa wa dunia mbio za mita 400 kuruka viunzi Nicholas Bett amefariki dunia wakati wa alfajiri eneo la Sochoi –Lessos kaunti ya Nandi .

Bett anaripotiwa kufariki papo hapo baada ya gari lake kuligonga tuta na kubingiria kwenye mteremko.Jamaa, marafiki na wanariadha walifika kuomboleza na familia katika hifadhi ya maiti kwenye hospitali ya Eldoret .

.
RELATED VIDEOS