×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Marafiki na manusura wa mkasa wa shambulizi la bomu Agosti nane wamekongamana

7th August, 2018

Jamaa, marafiki na manusura wa mkasa wa shambulizi la bomu Agosti nane wamekongamana kwenye kumbukumbu ya miaka 20 baada ya tukio hilo. Jamii ya kidiplomasia pamoja na waliohusika kwa ukombozi pia walifika eneo hilo jijini Nairobi.

.
RELATED VIDEOS