Maafisa wa ujasusi pamoja na KWS walifumania nyumba ya raia kuhusiana na pembe za ndovu
7th August, 2018
Maafisa wa ujasusi pamoja na wale wa shirika la huduma kwa wanyama pori KWS walifumania nyumba ya raia mmoja kutoka italia na kupata vifaa vinavyohusiana na wanyama pori pamoja na pembe za ndovu pamoja na risasi kadhaa.