×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Useneta Migori: Mbunge wa zamani Dache asema hatagombea, aiheshimu uamuzi wa ODM

6th August, 2018

Kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha useneta kaunti ya Migori, aliyekuwa mbunge wa Migori John Dache Pesa ametoa taarifa ya kuwa anaheshimu uamuzi wa chama cha ODM licha ya kwamba alikuwa anakimezea mate kiti hicho.

Chama cha ODM kilimkabidhi tiketi aliyekuwa mbunge wa Rongo zamani Ochillo Ayacko, hatua iliyompa mheshimiwa John Pesa uamuzi wa kuwaarifu wafuasi wake waliotaka agombee kiti hicho kuwa atawahudumia katika nyadhifa nyinginezo siku za usoni.

Amemshukufru kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa kuendelea kutoa mwelekeo wa uongozi chamani. Kiti hicho kilibakli wazi baada ya aliyekuwa seneta marehemu Ben Oluoch Okello kuaga dunia. 

.
RELATED VIDEOS