×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke Ngangari: Phenny Awiti anaishi na virusi vya HIV

5th August, 2018

Mara ngapi umekutana na watu ambao wameweka wazi hali yao ya HIV? Katika makala ya mwanamke ngangari wiki hii KTN leo wikendi imekutana na Phenny Awiti mwenye umri wa miaka ishirini na sita ambaye kupitia vyombo vya habari na hata mitandao anahamasisha jamii kupitia hali yake ya HIV licha ya kuwa angali hana ufadhili maalum kufikia idadi kubwa ya watu. 

 

.
RELATED VIDEOS