×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya wizi wa mifugo

5th August, 2018

Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha kapyego kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya wavamizi wanaoaminika kutoka kaunti jirani kuiba mifugo katika eneo hilo.   Baadhi ya viongozi  wamelalamikia utepetevu wa vikosi vya usalama unaolemaza  jitihada za kupambana na wizi  wa mifugo  katika eneo hilo. Matukio ya hivi punde  yanajiri  baada ya  eneo hilo kushuhudia mashambulizi ya mara kwa mara katika maeneo ya mpakani kati ya kaunti ya elegeyo marakwet, pokot magharibi na baringo.

 

.
RELATED VIDEOS