.
5th August, 2018
Hali ya majonzi imetanda katika eneo la mwingi baada ya vifo vya watoto kumi ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi ya St. Gabriel's mjini mwingi katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo wakati basi la shule walimokuwa wakisafiria wanafunzi hao kugongana ana kwa ana na lori kwenye barabara ya Mwingi kuelekea Garissa.