×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waathiriwa wa bomu wakumbuka shambulizi ya 1998

4th August, 2018

Tarehe 7 Agosti mwaka wa 1998 itasalia kuwa siku ya huzuni kuu nchini kenya.  Shambulizi la kigaidi kwenye ubalozi wa marekani lilitikisa taifa na kusababisha vifo vya  ya zaidi ya watu 200. Risala za rambirambi zilipoisha, huenda wengi walisahau tukio hilo. Lakini kwa Stella na Douglas,tukio hilo limesalia nao kila uchao

 

.
RELATED VIDEOS