.
4th August, 2018
Wakazi wa kijiji cha Yokot katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wamekuwa katika jitihada za kuutafuta mwili wa mwanafunzi wa kidato cha tatu aliiyezama mtoni. Huku hayo yakijiri polisi huko Buret walijipata pabaya baada ya kijana mmoja kupatikana ameuawa katika mazingira tatanishi