×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jopo la wahariri limeikashifu hatua ya bunge la taifa kuwaagiza wanahabari wa gazeti

2nd August, 2018

Jopo la wahariri limeikashifu hatua ya bunge la taifa kuwaagiza wanahabari wa gazeti la People Daily, wafike mbele ya kamati ya bunge la taifa ili kuelezea chanzo na uhalali wa habari iliyochapishwa kuwahusu wabunge.

Katibu mkuu wa chama cha wahariru, Christine Nguku, amesema hatua hiyo inakiuka haki za wanahabari. Lakini serikali kwa upande wake imesema ipo haja kwa wanahabari kuzingatia uwazi na usawa kwenye taarifa zao.

.
RELATED VIDEOS