×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nafasi ya wanafamasia au ukipenda wataalam katika nyanja ya dawa inaanza kuonyesha utepetevu wa hali

1st August, 2018

Wakati mdahalo wa ajenda nne kuu za serikali ya jubilee ukizidi kushika kasi darubini inasalia katika mojawapo ya malengo haya hii ikiwa ni sekta ya afya. Nafasi ya wanafamasia au ukipenda wataalam katika nyanja ya dawa inaanza kuonyesha utepetevu wa hali ya juu ikibainika wazi kuwa huenda serikali haijazingatia barabbara nafasi ya wataalam hawa.

.
RELATED VIDEOS