×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko amewasimamisha kazi waziri wa afya wa kaunti ya Nairobi

1st August, 2018

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko amewasimamisha kazi waziri wa afya wa kaunti ya Nairobi hitam Majevda na mkurugenzi wa afya Thomas Ogaro.  Gavana Sonko amewapa maafisa hao wakuu siku 14 kuelezea ni kwa nini baadhi ya hospitali za kaunti hazina vifaa vya kutoksha na madawa, licha ya kutumiwa kwa mamilioni ya gedha kununua.

.
RELATED VIDEOS