×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi 10 wa msingi ya Dhawabu wanadaiwa kufumaniwa katika nyumba moja Kayole wakijihusisha ngono

1st August, 2018

Maafisa wa usalama katika mtaa wa Kayole wanachunguza kisa cha wanafunzi kumi wa shule ya msingi ya Dhawabu wanaodaiwa kufumaniwa katika nyumba moja mtaani Kayole wakijihusisha na tendo la ngono. Tukio ambalo sasa linaibua mjadala kuhusiana na maadili ya watoto katika jamii na haswa katika nyakati za leo huku usimamizi wa shule ukidhibitisha kupokea madai hayo na kwamba uchunguzi umeanza.

.
RELATED VIDEOS