Waziri wa elimu Amina Mohammed ahojiwa na kamati ya bunge juu ya mikasa ya moto shuleni
31st July, 2018
Shule mia moja na saba za umma zimeathirika na migomo huku zingine elfu moja mia nane za watu binafsi zikiripoti rabsha. Hii ni kulinagana na waziri wa elimu Amina Mohammed aliyekuwa akizungumza mbele ya kamati ya elimu bungeni.