×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Upasuaji wa kunguza unene waanzishwa katika hospitali ya MP Shah

29th July, 2018

Hospital ya MP Shah jijini Nairobi imezinduzua upasuaji wa kudhibiti uzito wa kupita kiasi kwa kupunguza  ukubwa wa tumbo. Upasuaji huo utasaidia pakubwa katika upunguzaji wa uzani miongoni wa watu wenye uzani mkubwa na hivyo basi kuthibiti magonjwa yatokanayo ya mitindo na hali ya kuishi

 

.
RELATED VIDEOS