.
28th July, 2018
Hali tulivu imerejea mpakani mwa kenya na nchi jirani ya Ethiopia katika eneo la sololo kaunti ya Marsabit baada ya siku tatu za wasiwasi uliyotokana na kutiwa mbaroni kwa mshukiwa mmoja anayeaminika kua mwanachama wa kundi linalotoka nchi jirani ya Ethiopia la olf