Chama cha Wiper chaamua kuunga mkono mipango ya Rais Kenyatta
28th July, 2018
Baraza kuu la chama cha Wiper limekutana hii leo na kukubaliana kwa kauli moja kushirikiana moja kwa moja na rais Uhuru Kenyatta kwenye azma yake ya kubadili sura ya nchi kupitia maendeleo