×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kifaru mwingine ameripotiwa kufa na kufikisha idadi ya vifaru waliokufa kuwa kumi

26th July, 2018

Kifaru mwingine ameripotiwa kufa  na kufikisha idadi ya vifaru waliokufa baada ya kuhamishwa katika mbuga ya wanyama ya tsavo kuwa kumi. Akitoa ripoti kamili kuhusiana na kilichosababisha maafa ya vifaru hao waziri wa utalii Najib Balala amewapiga kalamu maafisa sita wa shirika la huduma kwa wanyama pori kwa kile alichokitaka kuwa utepetevu katika utendakazi wao. 

.
RELATED VIDEOS