×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirika la Amnesty linaitaka serikali kuwafidia waliopoteza makao yao kwenye ubomozi wa Kibera

25th July, 2018

Shirika la Amnesty linaitaka serikali kuwafidia waliopoteza makao yao kwenye ubomozi wa Kibera. Serikali imekuwa ikiendeleza ubomozi wa majumba yalioko kwenye barabara Kibera kwa siku mbili sasa. Zaidi ya watu elfu thelathini wameathirika na kubaki bila makao. 

.
RELATED VIDEOS