Masaibu ya gavana wa Busia Sospeter Ojaamong' yaongezeka baada ya kushtakiwa upya

KTN News Jul 24,2018


View More on KTN Leo

Masaibu ya gavana wa Busia Sospeter Ojaamong' yaongezeka baada ya kushtakiwa upya yeye pamoja na maafisa wengine watano  kuhusiana na ubadhirifu wa shilingi milioni nane.