×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wawili wafariki baada ya kuporomokewa na mgodi Kisii

23rd July, 2018

Wanaume wawili wamefariki walipokuwa kazini kwenye mgodi mmoja kijijini Getare, eneo bunge la bonchari kaunti ya kisii. Douglas Ratemo na Daniel Okero wote wenye umri wa miaka thelathini na mitano waliangukiwa na mwamba ulioporomoka kwenye timbo hilo na kuwafunika. Usalama wa wachimba migodi katika timbo hilo umezungumziwa kwa masikitiko baada ya mkasa huo Uliowapokonya uhai  marafiki wawili ambao wamekuwa wakitegemea riziki katika eneo hilo.

.
RELATED VIDEOS