23rd July, 2018
Wakazi wa mtaa wa Kibera hapa jijini Nairobi, wameelezea kutoridhika kwao kwa namna serikali ilipowashtua na ubomoaji wa makao yao kwa ajili ya ujenzi wa barabara. Ingawa wamekariri kwamba hawapingi mradi huo, wamedai kuhadaiwa na serikali.