×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa Mau: Seneta Cheruiyot amkashifu Tuju, asema anashibikia unyama wa mapolisi

23rd July, 2018

Shughuli ya kuwafurusha watu kutoka msitu wa mau unaendelea kuibua hisia kali seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot akimkashifu vikali katibu mkuu wa Jubilee ambaye pia ni waziri Raphael Tuju kwa madai kwamba anashabikia unyama unaotumiwa kuwafurusha. Haya yanajiri huku baadhi ya wakaazi wa narok wakiandamana kushinikiza shughuli hiyo iendelee.

.
RELATED VIDEOS