×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tuju asema lazima maskwota waondoke na maoni ya Murkomen ni yake binafsi

22nd July, 2018

Shughuli ya kuwafurusha watu kutoka msitu wa Mau utaendelea. Serikali imesisitiza kuwa pingamizi kutoka baadhi ya wanasiasa ni kelele za chura. Katibu Mkuu wa Jubilee Raphael Tuju akisema idara ya nidhamu chamani itatathmini matamshi ya kiongozi wa waliowengi bunge la seneti Kipchumba Murkomen ambako itaamua iwapo atachukuliwa hatua kwa kutoa mtimazo kinzani na ya wakuu serikalini ya kuwatoa watu  ndani ya Mau.

 

.
RELATED VIDEOS