×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wa wizi wa mafuta wakamatwa Nairobi

22nd July, 2018

Washukiwa 99 wa wizi wa mafuta wamekamatwa katike eneo la barabara ya lunga lunga hapa jijini Nairobi  katika operesheni ambayo imeendeshwa na maafisa wa polisi kwa ushirikiano na shirika la uhifadhi mazingira nchini NEMA pamoja na  tume ya kudhibiti kawi E.R.C.  Kadhalika  maelfu ya lita za mafuta yalinaswa kisha matanki ya mafuta hayo kuharibiwa. Inaarifiwa kuwa washukiwa hao wanaiba mafuta hayo na kisha kuyachanganya na bidhaa zingine kabla ya kuwauzia wateja

 

.
RELATED VIDEOS