×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ruto aahidi kuendelea na uzinduzi wa miradi mpya hata baada ya Rais Kenyatta kusitisha miradi mpya

22nd July, 2018

Je huenda naibu rais William Ruto akajikuta pabaya kuhusiana na  ziara zake za mara kwa mara pamoja na uzinduzi wa miradi mipya ya maendeleo licha ya agizo la rais kusitisha uzinduzi wa miradi mipya kabla ya kukamilisha ya awali? Akihutubia waumini huko Kilifi Ruto amesema kuwa atazidi kuzuru eneo hilo bila ruhusa ya yeyote na vilevile kuapa kuendelea kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo

 

.
RELATED VIDEOS