Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya wateta Thika
21st July, 2018
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mount Kenya wemavaamia kituo cha polisi wakilalamikia ukosefa wa usalama baada ya mmoja wao kuuawa na majambazi, kweingineko mzozo wa ardhi katika eneo la matuu umesababisha maandamano na ghasia