21st July, 2018
Shirika la Standard Group liliandaa karamu na baadhi ya wateja wao katika azma ya kuimarisha uhusiano bora . Afisa mkuu Mtendaji wa Shirika la Standard Olando Lyom aliwamiminia wateja sifa kedekede kwa kuendelea kuliamini Shirika la Standard Group katika kutoa mawasiliano bora kupitia gazeti la the Standard ,televisheni ya KTN Home na KTN NEWS pamoja na Radio Maisha